Mwenezi, originally known as Nuanetsi, is a small district situated in southern Zimbabwe. It is bisected by the Mwenezi River and the A4 highway, the main thoroughfare that connects the town of Beitbridge, on the border with South Africa, to Masvingo.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao.
2. Wanaziba nafasi za vijana.
3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena?
Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi.
Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:-
1...
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa.
Karibuni sana,Kidumu chama cha...
"Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo"...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?
Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo...
ππ WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
ππ SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA
Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu kuona Uhai wa Chama, Wasanii wataburudisha kipindi cha kampeni
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amewataka Wananchi wa Pangani kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi kwa ujenzi wa Miundombinu ya...
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio...
ππ MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA
"CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani."
Ndugu Paul Makonda...
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami.
Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda (@baba_kegan) amesema CCM imetoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo.
Akizungumza na wananchi wa Kata ya Bwanga...