mwenezi

Mwenezi, originally known as Nuanetsi, is a small district situated in southern Zimbabwe. It is bisected by the Mwenezi River and the A4 highway, the main thoroughfare that connects the town of Beitbridge, on the border with South Africa, to Masvingo.

View More On Wikipedia.org
  1. Ambros Kiwale

    Ufufuko wa CCM kupitia Mwenezi Makonda

    Habari wataalamu, binafsi sio mtaalamu Sana wa siasa, hata hivyo nakiri kwamba tangu nimeanza kufuatilia fuatilia politics ninashawishika kwamba CCM imeanza kurudisha uhai wake kupitia MWENEZI P. MAKONDA. Kwa ujumla Kama Kuna washauri wa Rais humu, wamjulishe kuwa wamefanikiwa Sana kuifanya...
  2. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  4. chiembe

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  5. Tlaatlaah

    Paul Makonda anaisisimua CCM na kuwazindua watendaji mazoea chamani na Serikalini

    Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini. Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
  6. R

    Kitendo cha Mwenezi kudanganya umma kwamba mwenyekiti alikwenda na jina lake kwenye kikao kunawafundisha nini chawa na viongozi wengine? Aheshimiwe?

    Mtu akipotosha kwa jina la Kiongozi mkuu wa taasisi asipuuzwe. Kama aliyempeleka kwenye mkutano mkuu ni mwenyekiti na kwamba hakuna kuhoji tusipuuze. Alituambia JPM ni ndugu yake ila alimtumbua. Hii yakusema alipita kwa turugfu inatuma salam kwa viongozi wenzake kwamba wasipomtii wataondolewa...
  7. R

    Ni sahihi kwa Mawaziri kuwajibika kwa karibu Mwenezi wa chama? Mfumo wa mawasiliano ndani ya chama cha Mapinduzi upoje?

    Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara. Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ...
  8. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  9. Fundi Madirisha

    Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
Back
Top Bottom