mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. Mwenge wa Uhuru 2025 kuzinduliwa Mkoani Pwani

    Mkoa wa Pwani umeteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazozinduliwa Aprili 2, mwaka huu katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Pwani sherehe zitakazohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, mikoa jirani na wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na...
  2. Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  3. Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  4. Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema. Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
  5. CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  6. Natafuta picha za miaka 23 toka Mwenge ukimbizwe

    Sherehe zilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid Arusha mwaka 1987. Mgeni rasmi alikuwa Mwl. Nyerere baadhi ya picha ziliwekwa kwa muda pale kwenye jengo la Azimio la Arusha. Pia kuna watu wa BBC walikuwa wana rekodi FILM (sasa hii sina hakika inaweza patikana wapi) MSAADA...
  7. Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  8. D

    Hoteli maeneo ya mwenge au kigamboni darajani

    Anaejua hoteli nzuri maeneo ya mwenge au kigamboni darajani kuanzia 50k anitajie
  9. Baadhi ya Wanawake wanajua hawana kipato lakini wanacheza michezo ya hela

    Baadhi ya wanawake ni vichwa mwenge, Huna biashara yoyote halafu unacheza KIBATI sasa utapata wapi pesa ya marejesho kama sikufungua milango ya ufisadi?
  10. A

    KERO Ujenzi wa Barabara ya Mwendo Kasi Tegeta Hadi Mwenge Sasa Imekuwa Kero kwa Wananchi Walio jirani na Mradi Huo

    Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu bila kuweka njia mbadala. Hali ambayo inaleta kero sana kwa wakazi wa maeneo hasa ya mbezi beach...
  11. Nahitaji kuhudhuria Jumuiya za kikatoliki Mwenge ratiba zake zipoje

    Habari wakuu, Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge. Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi Jumuhiya za Mwenge ratiba yake ya asubuhi ipoje? Yaani zinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
  12. Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  13. Natafuta chumba masters, Mwenge / Mlimani City / Mlalakuwa

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  14. Kama unatokea Kimbiji, kati ya Chamazi na Mwenge wapi ni mbali zaidi?

    Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani. Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea...
  15. Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  16. Madereva wa Dar msaada taa za Mwenge kutozingatiwa

    Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu, Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu...
  17. Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

    Ishara kumi na mbili za dunia zimeunganishwa katika makundi manne (Moto, Ardhi, Hewa na Maji) Kwakuwa tunataka tuijue nchi yetu zaidi kwa leo sitaongelea kwa undani zaidi hizo ishara Kumi na Mbili na makundi yote hayo manne, bali leo nitaongelea pekee kuhusu Moto Kuwasha mwenge kunaweza...
  18. Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  19. T

    Kiongozi wa mbio za Mwenge Cde. Mzava amkabidhi Rais ripoti ya miradi 16 iliyotafunwa fedha. Hivi ripoti ya kifo cha Kibao alishakabidhiwa?

    Watu bado wanatafuna pesa tu za serikali? Posho zimerudi, semina zimerudi, Shimiwi imerudi, washa zimerudi, mikutano imerudi, kongomano zimerudi, overtime zimerudi, fulana na kofia za semina wanavaa, kule Morogoro jioni baada ya semina wanakesha Star Park, Terminal Pub na Samakisamaki siku...
  20. Sikuwa najua kama Mwenge ukizimwa huwa unawekwa mlima Kilimanjaro

    Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya kuuwasha. Mimi nilikuwa najua unapelekwa makumbusho huko. Anayeijua itifaki ya mwenge anisaidie hapo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…