mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Bei ya Makabati Mwenge Njia ya kwa Kakobe kabla ya Lufungira

    Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
  2. U

    Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  3. Mohamed Said

    Mwenge wa Uhuru na Kitabu Cha Mwenge wa Uhuru ("The Torch on Kilimanjaro") Cha Oxford University Press

    MWENGE WA UHURU NA KITABU CHA WATOTO CHA MWENGE WA UHURU ("THE TORCH ON KILIMANJARO") Mwaka wa 2007 Oxford University Press (OUP), Nairobi walianzisha mradi wa kusomesha Kiingereza na historia pamoja kwa shule za msingi Afrika ya Mashariki. Nia yao ikiwa wanafunzi wa shule za msingi katika...
  4. L

    Wafanyabiashara Kariakoo wamekimbilia Mwenge, Tandika na Mbagala, wameona hali ngumu

    Huku Tandika, ukienda Mbagala rangi 3, ukienda Mwenge, ukienda Kinondoni biashara zinakwenda kama kawaida, wale waliogoma Kariakoo na kuwashawishi wa mikoani nao wagoner wanazuga tu, hakyamungu had j3 watarudi wenyewe. Biashara Tandika na Mwenge zinafanyika kwa kasi kubwa sana, tena wanaombea...
  5. GoldDhahabu

    Ushirikinai wa mwenge ni uongo?

    Mengi yameshasrmwa juu yake, kuwa ni uchawi wa Serikali wenye lengo la kuwafanya Watanzania watawalike! Dini za Ukristo na Uislamu zinapinga uchawi. Hutarajii viongozi wake kujishikamanisha na shughuli za mbio za mwenge. Kuna clip moja mtandaoni inayoonesha ufunguzibwa mbio za mwenge mkoani...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Pre GE2025 Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia

    Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia Wahusika Wakuu 1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM) 2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha Umoja wa Wazalendo (UW) 3.Juma Kiboko - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa 4.Nadia Juma...
  7. greater than

    Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya ujenzi : Billioni 15 Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu. STENDI YA MABASI YA...
  8. Pdidy

    Mwendokasi za Mwenge-Tegeta-Bunju zitakuja lini?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
  9. uran

    Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni tunaotumia daraja kwenda mjini, Muda huu usijaribu. Bora ukapange foleni kwenye kivuko. Its worse
  10. Mkwala

    Route ya daladala MwengeMbeziLouis kupitia Madale

    Wasalaam! Katika pilika pilika nimekutana na hii route ya daladala.Yaani unaanzia Mbezi Louis stendi kwenda Mwenge lakini unatakiwa kupitia Madale road ,,Bagamoyo road.Wadau hii route tunaionaje au ni kutafuta mzunguko tuu wa Bure kufika Mbezi Louis au Mwenge.
  11. Stuxnet

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  12. Erythrocyte

    Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari...
  13. B

    Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

    MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
  14. Ndagullachrles

    Moshi: Mwenge wakwamisha mahabusu kupelekwa Mahakamani

    Leo mahabusu wenye kesi mbalimbali kwenye mahakamani hasa Moshi Mjini, hawajafikishwa mahakamani kutokana na uhaba wa askari. Askari wengi wapo kwenye shughuli ya uwashwaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa unaofanyika kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi kwenye tukio Hilo ni...
  15. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Bangi ya 'Cha Arusha' pamoja na 'Skanka' inafanya watumiaji kuwa vichaa

    Fuatilia kinachojiri kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, leo Aprili 2, 2024 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ni Mgeni rasmi. https://www.youtube.com/live/Tn-4Dnih7Ns?si=AnmsV1cFL-h2A6ze Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. Ndagullachrles

    CP Awadh Haji: Watakaoleta vurugu Uzinduzi mwenge wa uhuru kukiona cha moto

    Jeshi la polisi nchini limewahakikishia Watanzania Hali ya Amani na usalama wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru utakaofanyika kesho Jumanne mkoani Kilimanjaro. Tukio Hilo la kuwasha mwenge litafanyika kwenye uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi...
  17. R

    Kinatafutwa chumba+Sebule+jiko, fully furnished maeneo ya Mwenge

    Habari wakuu Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo ya Mwenge, Dar au maeneo ambayo anaweza kupanda basi moja tu kufika maeneo ya Upanga. Anahitaji kwa...
  18. A

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

    Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia kodi za wanannchi. Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani? Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
  20. ndege JOHN

    Mtumishi wa umma zingua yote ila sio kampeni za kitaifa, sensa, uchaguzi na mwenge

    Kwa nchi yetu hakuna mambo ya moto kwa mtumishi kucheza nayo kama hayo niliyoyataja.Yaani fanya yote lewa,fanya umalaya,chezea muda wa kazi,kuwa na nidhamu mbovu hayo yote utaweza kuchukuliwa Poa wakakuacha. Ila aisee usije kujaribu kuipinga serikali kwenye kampeni zake kwa mfano chanjo ya...
Back
Top Bottom