mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  2. Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

    Mambo vipi Wakuu! Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
  3. Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

    Swali kwa wajukuu zangu wapenzi. Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa? Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
  4. Mwenge una Siri Gani? Viongozi Mwanza wanafanya miradi usiku kucha

    Mwenge wa uhuru tunavouchukulia inaweza ikawa tofauti na tunavyodhani. Nadhani viongozi wa mbio za Mwenge wanaenda ku report Kwa Rais mambo mazito, hawajali Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi n.k. Wao wakikuta mambo ya ovyo wanakulipua juu. Mwenge kesho unaingia Ukerewe ila viongozi...
  5. Toka nakua na mpaka sasa sioni faida ya Mwenge wa Uhuru

    Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote. Kuna siku nimeitwa na mkuu wa Wilaya, wilaya flani akisema nitoe mchango wa mwenge nikamwambia mwenge unabajeti yake...
  6. Nimetimua kama mwizi, kada aliyekuja kunichangisha mchango wa mbio za mwenge

    Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki ushirukina
  7. Plot4Sale Mwenge: 366 Sqm Plot with House and Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mpakani • Facilities: House, 5 frames • Plot Area: 366 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 200 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ iko mtaa wenye pilika za kibiashara ✓ ina nyumba kwa nyuma yenye wapangaji na fremu za maduka 5 kwa mbele ✓ kiwanja cha 3 kutoka lami ya...
  8. B

    Mwenge wa Uhuru wamulika miradi ya maendeleo - Kibondo

    Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini. Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
  9. I

    MSAFARA WA MWENGE WA UHURU

    Swala la kufungwa kwa barabara na kusimama kwa shughuli za usafirishaji kwa masaa kadhaa wakati wa msafara wa Mwenge wa Uhuru limezua mjadala nchini Tanzania. Wakati Mwenge wa Uhuru una umuhimu wa kihistoria na kitamaduni, ukihusishwa na kampeni za kitaifa kama vile vita dhidi ya malaria, ujenzi...
  10. Msafara wa Mwenge kusimamisha safari za mabasi Kwa masaa 4 ni udikiteta.

    Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa Tangu saa 1 asubuhi Kwa Kisingizio cha kutoingilia msafara wa Mwenge àmbao unatokae Sumbawanga. Kutoka...
  11. Interchange ya MWENGE na MOROCCO imepotelea wapi?

    Habari, Kwa watumiaji wa barabara ya Bagamoyo, Ali Hassan Mwinyi pamoja na viunga vyake vya Sam Nujoma kuna ujenzi unaendelea wa BRT phase ya 4. Awamu iliyopita bwana Humphrey PolePole alisema kua kuna Interchange zitajengwa Makutano ya Bagamoyo na Sam Nujoma Road (Mwenge) Makutano ya Ali...
  12. Mtendaji wa kata kunichangisha mchango wa mwenge kwa lazima imekaaje hii?

    Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani? Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende nikamsikilize, ikabidi nitoke nilipo nisitishe shughuli niliyokuwa naifanya niende nikamsikilize...
  13. Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  14. Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  15. Stand ya mabasi Mwenge

    Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
  16. Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

    Niaje waugwana, Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo ni miezi sasa, lakini jamaa utafikiri ndio kwanza wana siku 3 tu. Hakuna hatua yoyote ya maana ya...
  17. Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

    Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza. Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
  18. Kwanini Mkoa wa Mara wana Mwenge wao Tofauti na Mwenge wa Uhuru?

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo tarehe 1 Agosti, 2024. Mwenge wa Mwitongo ni mwenge wa Kabila la Wazanaki...
  19. Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

    Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia? ======= Mbio za Mwenge wa Uhuru leo July 26th, 2024 zimeingia katika...
  20. Kuna siri gani imejificha kwenye mwenge?

    Ndugu wanajamvi wenzangu mabibi na mabwana natumai mu wazima. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kufahamu Kuna siri gani imejificha kwenye mwenge. Wiki iliyopita kulikuwa na shamra shamra za mapokezi ya mwenge wa uhuru eneo nililopo. Sasa mimi nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…