Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke.
Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia...
MWENYEKITI CCM (M) MARTHA MLATA KATIKA ZIARA YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ndugu Martha Mlata ameambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ziara ya kukagua miradi na kuzindua miradi...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.