mwenyekiti uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Ajenda ya mitano tena ni kwa Rais Samia na Rais Mwinyi tu. Vijana twende tukagombee

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda ya Mitano Tena ni kwa Mgombea wa Urais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukipigwa Mdahalo kati ya Mwenyekiti UVCCM na Mwenyekiti BAVICHA ni wazi wa UVCCM ataonekana ni mweupe!

    Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako. Kupata matukio na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi akiwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mzee Lowassa Kamanda wa Vijana ndio Waliruhusu Vijana Social Kinondoni iwe Bure Kwa Vijana Wote!

    Wengi Hawajui Mchango wa Nchimbi Kwa Vijana wa sekta mbali mbali nchini lakini ni huyu Nchimbi ndiye aliruhusu Vijana kutumia ukumbi wa Kinondoni kukuza vipaji vyao bila kujali itikadi za kisiasa Nakumbuka tukiwa pale Kambi ya Home Alone jirani na Kwa Salva Rweyemamu Mwenyekiti Nchimbi alisema...
Back
Top Bottom