Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi.
Mwenyekiti Mtemvu ameyasema hayo katika ziara ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Kutokana na Kazi kubwa anayofanya mchungaji Msigwa Kwa ajili ya Chama na jinsi anavyopendwa na Wananchi ni vema Kamati Kuu ikamteua kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi.
Makalla arithi nafasi iliyo wazi ya Makamu mwenyekiti wa CCM.
Ahsanteni sana 😄
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024.
Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AHITIMISHA ZIARA JIMBO LA IGUNGA KWA KISHINDO
Asisitiza ujenzi imara wa Chama
Asema Mikakati ya kujenga vitega uchumi na Kukuza mapato ya Chama ni mfano wa kuigwa
Atoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo na kugusa...
Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine.
Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na...
Utangulizi
Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,
Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho.
Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.
Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.
Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa...
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana.
Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati.
Haendani na kasi ya...
Ni kweli kwamba katika uongozi wa CCM, vijana wamekuwa wachache ikilinganishwa na wazee. Hata hivyo, uchaguzi wa makamu mwenyekiti mpya wa CCM kijana unaweza kuwa na athari chanya katika kuunganisha na kujenga ushawishi miongoni mwa vijana, hasa kundi la Generation Z.
Baadhi ya faida zinazoweza...
Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya.
Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni...
Buchosa. Maria Ikangila, mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Majengo wilayani Sengerema amesimulia mume wake alivyojitoa uhai kwa kujinyonga kutokana na ugumu wa maisha uliosababisha ashindwe kupata matibabu.
Hamis Budaga (60), mkazi wa Kijiji cha Majengo, Kata ya Nyakasungwa mkoani...
📌📌 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA CCM AMESHIRIKI KATIKA TAMASHA LA UTAMADUNI NA UTALII.
🗓️ 07, July, 2024
📌 Bariadi - Simiyu
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameongoza kwa mfano wa uongozi katika tamasha la Utamaduni na Utalii lililofanyika Leo Tarehe 07/07/2024 Katika viwanja...
Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini.
Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na mali kwa viongozi waandamizi wa CCM, kuanzia ngazi ya tawi unanatufikia vyema sana.
Asanti sana Mama...
Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais.
Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa Rais.
Mwinyi naye alipotoka kwenye Urais akamwachia Benjamin William Mkapa uenyekiti wa CCM ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.