Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu,
Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati.
Freeman Mbowe, kiongozi hodari,
Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati.
Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni,
Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu.
Katika harakati zake, anapigania...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe...
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.
Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.
Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.
Wednesday, ubarikiwe sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.