Hata kama amekasirishwa, kutukana kutamsaidia?
Nimo kwenye basi naelekea mkoa fulani. Njiani, mama mmoja kapitilizwa na konda kituo alichopaswa kushukia.
Kutokana na kukerwa na hiyo hali, aliposhuka, hakulalama tu, bali pia alisindikiza manung'uniko yake na tusi la nguoni. Alitukana kwa kutaja...