Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu.
---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe.
Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022.
===
KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008)
Kwa mamlaka yake...
Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kauli hiyo...
Sum Msasali na mwenzake leo wameniacha hoi wakati wanajadili sakata la uhaba wa damu salama nchini, hivyo wakatoa wazo kuwa wataalam waanze kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu, jamani hii imakaaje?
Mfano ukiwekewa damu ya mbwa au mbuzi inakuwaje. Dah!
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke.
Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka...
Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake?
Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.
Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.
Hongereni sana Simba na Vunja bei.
Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein Tshabalala.
Uzuri wake Edward Charles Manyama ni kwamba haishii tu kukupa Faida ya Kukaba vyema bali pia...
Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.
Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha askari polisi wa kitengo cha upelelezi Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, aliyetambulika kwa jina moja la Linus aliyefariki usiku wa kuamkia Mei 31, mwaka huu ikidaiwa alipigwa risasi shingoni na askari mwenzake.
Alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia suala...
Siongezi neno wala kupunguza.
Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine.
Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)
Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
Siongezi neno wala kupunguza!
Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)
Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
Je, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ya nchini Tanzania Dkt. Hassan Abbas na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa nani ni 'Boss' wa Mwenzake na nani pia anatakiwa kuwa Mnyonge kwa Mwenzake?
Sasa Generalist nasubiri Mirejesho yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.