Hili si tangazo la kazi bali natafuta kijana mwenzangu ambae ni programer na yupo kwenye app & web dev.
Nimegraduate last year, computer science, hata kama huna degree ya computer science na wewe ni self taught hii inakuhusu
Lengo ni kujiajiri, itakuwa vyema zaidi aki cover backend, Software...