mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mwenzetu kagundua njia rahisi ya kuwatofautisha Pacha wake

  2. Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
  3. Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  4. Naomba mpigie Kura Mtanzania mwenzetu

    The link is on his bio click it and it'll open a browser, select "sports creator of the year " category, scroll down until you see @zerobrainer0 then VOTE NOW https://vm.tiktok.com/ZMkSX5WBV/
  5. Mwenye uzi alioandika Jf ,mwanachama mwenzetu, raraa-reree,auweke hapa tafadhali!

    Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
  6. Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  7. Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  8. Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  9. Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  10. Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  11. A

    KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  12. Video: Aisee! Kumbe ni mwenzetu bwana

    Angalia mpaka mwisho hii video.
  13. Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  14. Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  15. Leo Novemba 19, ni Siku ya Choo Duniani

    Habari ya wakati huu kwenu watu wa jamii ya JamiiForums. Katika kuadhimisha siku ya choo duniani kuna baadhi ya mambo ni muhimu kuyajua ikiwa ni jitihada zifanyikazo kuongeza uelewa kwa jamii inayotuzunguka. Siku ya Choo Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba na inalenga kuongeza...
  16. Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  17. Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  18. Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

    Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio. Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni...
  19. Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

    Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu...
  20. TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…