mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

    CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia? Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati...
  2. J

    RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  3. BAK

    Kutoka kwa Mtanzania mwenzetu Twahir Abbas

    Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China). ______ Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au...
  4. GRAMAA

    Kumbe yule jamaa iliyetembea uchi Morogoro na familia yake ni mwana MMU mwenzetu!

    Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU. Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe alipokuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari na kudai kwamba anajisikia vibaya sana kwani rafiki zake wa...
Back
Top Bottom