Mwigizaji nguli Gene Hackman na mkewe Betsy Arakawa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia nyumbani kwao huko Santa Fe, New Mexico.
Polisi wamesema kuwa hakuna dalili za uhalifu, lakini sababu halisi ya vifo vyao bado haijajulikana.
Hackman alikuwa na umri wa miaka 95 na alikuwa mshindi wa tuzo...