mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Naipendatz

    Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

    "Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba. Ameyasema hayo leo...
  2. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

    Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.
  3. John Haramba

    Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  4. M

    Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Ni bahati Njema awali mlikuwa wizara ya Mambo ya ndani na sasa Mwigulu yuko wizara ya fedha na Masauni karudishwa Mambo ya Ndani akiwa full minister, kwa uzoefu wenu mlikaa wazara hii mkazijua shida za askari hawa,,sasa kawalipeni posho zao za Maji+umeme+pango askari hawa wamevumilia sana...
  5. M

    Mwigulu una kiporo Wizara ya Mambo ya ndani. Sasa una nafasi kimalize

    Mh. Mwigulu ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ulifanya kazi kubwa sana ya kuwatembelea na kuwasikiliza askari wa vyombo mbali mbali vilivyopo wizara ya mambo ya ndani. Moja wapo ya madai yao unayajua vizuri sana, Posho ya Maji, Umeme na Pango. Sasa upo wizara ya fedha kwenye bajeti hii askari...
  6. Idugunde

    Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

    Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7. Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa...
  7. GENTAMYCINE

    Kama kuna Mawaziri wana 'Wataalam' hasa wa 'Vilingeni' wanaowasaidia vyema Uongozini kwa Tanzania nzima ni Kassim, Ummy na Mwigulu

    Na nashauri hata Siku zingine ikitokea Mvua zikagoma Kunyesha tuwaombeni hawa Waandamizi Watatu tajwa katika 'Headline' yangu watusaidie Kuongea na hao 'Wataalam' wao kwani kwa muda mfupi tu huu wameshaonyesha kuwa hakika 'Ndumba' wanazijua na wanaweza. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hakuna...
  8. Escrowseal1

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

    Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before? Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila...
  9. Nyankurungu2020

    Mwigulu Nchemba acha kudanganya wananchi, mikopo hulipwa na watanzania wanapolipa kodi. Usipotoshe umma

    Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili? Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie Burundi, bila kujali hata namna tozo zinavyoumiza wananchi. Leo hii unatamka bila hata aibu kuwa...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    "Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali" "Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja...
  11. Suzy Elias

    Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  12. M

    Kutoteua Bodi ya NBAA hadi leo ni uzembe au dharau za Mwigulu Nchemba

    RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa swali wake mwingulu ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka wapatikane wale wa lile kabila km walivyozoea kipindi cha shujaaa wa africa MADHARA YANATOKANAYO NA...
  13. T

    Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

    SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetenga TZS 7.3BL kwa ajili ya kufungua barabara za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida ikiwa ni utekelezaji wa kauli mbiu yake ijulikanayo kama ‘Tunakufungulia barabara kufika...
  14. L

    Wanairaimba: Dkt. Mwigulu hatununuliagi hata pombe

    Baada ya kuwa Mwanza kwa takriban miezi mitatu, juma lililopita nikarejea na kuamua kukusanya ndengu Jimbo la Iramba na hivyo kunilazimu kutembelea vijiji ambavyo wanalima ndengu. Ndengu ni mojawapo ya zao tunalolima sana Iramba, ukiacha alzeti na zamani vitunguu. Katika pitapita zangu huko...
  15. Mohamed Ismail

    Asante Mwigulu kwa kutoa funzo la kuwa na moyo wa kusaidia

    Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
  16. B

    Mwigulu ataruhusu nyota ya January ing'ae?

    January ana mipango mingi inayohitaji fedha, lakini mmiliki wa fedha Ni asimu wake ambaye ni Mwigulu Nchemba, pesa ikichelewa kuidhinishwa miradi inachelewa na miradi isipopitishwa hazina na wizarani just kwa technicalities Januari anafeli. Kimuundo hizi Ni wizara mbili zinazojitegemea ambazo...
  17. Replica

    Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
  18. Red Giant

    Wanauchumi msaada: hii mbinu ya Mwigulu kuongeza mzunguko wa pesa ipo sawa?

    Bondia wakuu. Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema. Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa...
  19. Mwalimu wa tuisheni

    Tetesi: Mwigulu anapigwa kikumbo kikali

    Waziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu.. Ahsanteni...
  20. J

    Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
Back
Top Bottom