mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

    Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi...
  2. J

    Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  3. Investigation Unit

    Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  4. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli: Waacheni watoto wasome, msiwatumie kwenye siasa

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.
  5. S

    Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  6. L

    Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  7. R

    Luhaga Mpina: Hakuna hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka Ripoti ya CAG itolewe Machi 2023

    Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho ya mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG inayoonesha hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka...
  8. benzemah

    Mwigulu Nchemba Amshukuru Rais Samia Kwa Kuridhia kuwapatia Wachimbaji Wadogo Leseni

    Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
  9. R

    Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

    Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu. Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema : "Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali...
  10. M

    Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  11. ChoiceVariable

    Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  12. R

    Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi. Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe...
  13. R

    Waziri Dkt. Mwigulu atangaza bungeni kukopa Trilioni 6

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
  14. S

    Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna. Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Waziri Mwigulu akikata mauno baada ya Yanga kushinda 5

  16. BARD AI

    Waziri Mwigulu: Serikali itakopa Tsh. Trilioni 8.69 kwaajili ya Bajeti ya mwaka 2024/25

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3. Mwigulu amesema hayo...
  17. J

    Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  18. BARD AI

    Waziri Mwigulu: Ni marufuku kwa TRA kufunga Maduka

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini. Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
  19. L

    Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo waungana "eti" ili kuondoa ushindani jimbo la Iramba

    Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
Back
Top Bottom