mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  2. marehem x

    Nikutongoze tukubaliane, halafu nikukute na mwanaume mwingine uzuge zuge! Labda kama sio Makide mimi

    Nina mchumba angu wa tangia 2014. Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia. Nilimpa Cash akanipa bia. Sikudai chench before hand. Akanipa larger...
  3. Ndondombi Mulin

    Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  4. Jemima Mrembo

    Zumaridi ni mungu asiye na mbingu yake hadi anaenda kwenye mbingu ya Mungu mwingine

    Zumaridi ameudhihirishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni mhitaji wa tiba ya afya ya akili. Zumaridi amekuwa akijibasibu kwamba yeye ni mungu na amekuwa akipata wafuasi ambao wanamuamini na kumheshimu. Pia wapo ambao wamediriki kuachia shughuli zao zote za kimaendeleo ili tu wamtumikie Zumaridi...
  5. Mwande na Mndewa

    Miaka miwili bila Hayati Magufuli; Nimekutana na Magufuli mwingine

    Ninajua machache juu ya Hayati Rais Magufuli ni imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mwamini, sasa kiundani zaidi basi ni Mwenyezi Mungu pekee anayeweza kuhukumu na kujivunia kiumbe chake kama alivyofanya kwa mtumishi wake Ayubu,ninapokumbuka...
  6. Nyendo

    Msimlinganishe mtoto na mtoto mwingine

    Kumlinganisha mtoto na mtoto mwenzake ukionesha kasoro aliyonayo au jinsi mtoto mwingine anavyofanya vizuri humuumiza kihisia na kumfanya akate tamaa ya kufanya vyema kwa kuwa ataanza kuona aibu au kuhisi umehamisha upendo anaostaili kupendwa yeye na kumpa huyo unayeona bora kwa wakati huo. Ona...
  7. Infinite_Kiumeni

    Muda mwingine Mwanamke hudanganya/ hukasirika ili kumjaribu Mwanaume, sio kwamba hapendi

    Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara. Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake, baba yake au jirani tu. Sababu ndivyo alivyoumbwa. Anahitaji kujua haraka nani atafaa kuwa kiongozi...
  8. Mganguzi

    Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  9. JanguKamaJangu

    Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  10. Roving Journalist

    Polisi Mbeya wamnasa mwizi wa ng’ombe, mwingine aponzwa na Bangi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
  11. Kibosho1

    Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  12. BARD AI

    Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  13. Infinite_Kiumeni

    Ameniacha Na Kwenda Kwa Mwanaume Mwingine Baada Kuishi Naye Muda Mrefu. Nifanyaje?

    Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
  14. Carlos The Jackal

    Dr Mwaka: Ukiwa nami utakula bata, ukiondoka utaviacha, akakupe Mwingine

    Itoshe tu kusema, Sasa kaanza kujitambua, zile mbwembwe zake óhooo vile ohoooo vile ... Ni mbwembweee Wale Akina Dada mnaolewa kupigia Hesabu Mali ,mkishaona Mali Sasa zanoga mnaanzisha vijisababu ili mvunje Ndoa ,upate nusu Kwa Nusu .. Kaaeni chonjo!!
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Wakuu, Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi! Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini! Wana...
  16. Kijakazi

    Kiongozi Mkuu wa Scotland, Nicola Sturgeon atangaza kujiuzulu

    Baada ya New Zealand sasa pia Mkuu wa Serikali ya Scotland amejiuzulu baada ya kushindwa, Nicola Sturgeon ameenda! WAZIRI MKUU WA SCOTLAND ATANGAZA KUJIUZULU Nicola Sturgeon ambaye ni kiongozi wa Chama cha #SNP amesema anaamini akili na moyo wake vimeona ni muda sahihi wa kupumzika baada ya...
  17. tpaul

    Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

    Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
  18. Unique Flower

    Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

    Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆 Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani? Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii Tulia maisha haya ni yakuwa na...
  19. Pdidy

    Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
Back
Top Bottom