mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  2. Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

    Wanabodi Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii. TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani Jumatano, Januari 08, 2025 By Paschal Mayalla Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa...
  3. K

    Pre GE2025 Uchaguzi Chadema: Mbowe anasema wapigaji kura watahojiwa mmoja baada ya Mwingine

    Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura...
  4. T

    Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

    Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea. Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kabendera hayupo peke yake kwenye hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika. Inaweza ikawa...
  5. Zitto: Mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio hayo hayo yanayotengenezwa kutuletea Magufuli mwingine

    Kulikuwa na mjadala na bado unaendelea CH kuhusu kitabu tata cha Kabendera Kwamba mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio yale yale yatakayotuletea Magufuli mwingine hapo mbeleni. Hii ni kauli ya Mwanachama na Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo akizungumzia kitabu cha Eric...
  6. Kama Tishio ni Lissu, Mbowe angetafuta Mhusika mwingine agombee uenyekiti kisha amuunge Mkono, kwa usalama wa Chama

    Sabato Njema! Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena. Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?" "Mbowe tayari...
  7. Q

    CHADEMA ina Presidential Material mwingine zaidi ya Lissu?

    January mwaka kesho Chadema inatarajia kumchagua Mwenyekiti wao mpya Taifa, ikumbukwe kuwa mwaka huo huo Novemba 2025 chama hicho kinakabiliwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kwa uzoefu wangu hadi sasa sioni mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya Chadema kupambana na Samia zaidi...
  8. Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  9. B

    Pre GE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

    Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano. Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens...
  10. Q

    Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

    Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa. Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake. Magufuli...
  11. Lisu wa CHADEMA atasababisha atokee Lisu mwingine wa CCM. Ndio maana tunahitaji Lisu awe Mwenyekiti.

    LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasosholojia, na kama haitoshi Majasusi wa kuzaliwa. Tunajua kuna kanuni za vita, mapambano na...
  12. Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

    Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
  13. R

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  14. 99% ya wanawake waliokusumbua hawamfikii kwa uzuri mwanamke uliyenaye sasa hivi. Wakati mwingine unawashukuru kwa walivyokukatalia

    Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha. Kwa Sisi kaka zenu...
  15. S

    Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  16. S

    Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  17. LGE2024 Freeman Mbowe: Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania. Tunalaani mauaji na...
  18. Pre GE2025 Nani anafaa kuwa mbunge wa Kigamboni baada ya kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile?

    Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
  19. Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  20. K

    Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…