Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa.
Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama wanayojifungua viongezeka ..nilitamani kumpiga ngumi aisee.
Sasa vifo hivyo Rais anahusikaje Kwa mfano? Maana...
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex.
Chanzo Taarifa: manaratv
Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
Hezbollah imethibitisha Jumapili kwamba kiongozi wake wa juu Ali Karaki aliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye kitongoji cha kusini mwa Beirut, shambulio ambalo pia liliua kiongozi wa kundi hilo, Hassan Nasrallah.
Israel ilisema ilimuua Nasrallah katika shambulio la anga kwenye...
Wakuuu hizi ndio habari duniania
Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa
Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧
Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo
Huku Waziri mkuu mwenye akili kuliko wote duniani Benjamin Netanyahu
Akiambia dunia Ukitupiga tunakupiga ,hakuna sehemu katka...
Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana.
Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU
1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi
2. Kagua iwapo simu iliwahi kufanyiwa marekebisho na hakikisha vifaa vyote vipo sawa na vinafanya kazi
3. Kagua simu ina muda gani wa...
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio...
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia. Kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja lakini kwa mkataba. Nilimwambia niko kazini...
MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE!
Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi, hizi ni pesa ambazo Baba yangu aliniwekea kwenye akaunti tangu nasoma, alipofariki basi sikuzitumia...
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki
Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao!
Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini
IDF...
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi...
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa.
Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.