mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sura ya ushirika wa DP World na TPA katika mtazamo mwingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  2. Hivi kwanini yale mabinti chama la wana kitaa lakini ukienda wewe mwingine unapigwa cha mbavu?

    Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu. Hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga...
  3. B

    Wakili Msomi Mwabukusi; Je, ndiye 'Daudi' wa Tanzania au tumtazamie mwingine?

    Nawasalimu kwa jina la Bwana. Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17. Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
  4. Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

    Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo. Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
  5. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  6. Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  7. Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  8. Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

    Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
  9. Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  10. Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  11. Bilionea mwingine mndani wa Putin afa ghafla, wataisha hawa jameni

    Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene.... 40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia On July 22, businessman and CEO of "IKS Holding," Anton Cherepennikov, passed away at the age of 40 in Moscow. The initial cause of...
  12. M

    Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  13. Waliomsindikiza Wakili Mwabukusi Polisi nao wakamatwa. Yumo Mdude Nyangali

    Taarifa kutoka Mbeya zinaeleza kwamba baadhi ya watanganyika wazalendo waliomsindikiza Boniface Mwabukusi kwenda kuripoti Polisi, kama Wito wa Jeshi hilo ulivyomtaka, Wamekamatwa na Polisi, kupigwa pingu na kudhalilishwa. Baadhi ya majina yaliyotajwa kwa waliokamatwa kituoni hapo lipo la...
  14. E

    Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

    ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
  15. Wakili Madeleka: Hakuna atakayetoka nchi nyingine kuja kufanya wajibu wa kusema ukweli na kulinda rasilimali za nchi yetu

    Mambo yanayoendelea katika nchi yetu kwa sasa hususan katika suala la mkataba wa bandari halivumiliki, na sisi kama Watanzania ambao tuna wajibu wa kusema ukweli na kulinda raslimali za nchi yetu ikiwemo bandari tunatimiza wajibu wetu huu adhimu na adimu kwa sababu hakuna mwingine kutoka nchi...
  16. Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  17. Huyu ndiye yule au tumtazamie Mwingine? Saa ya Ukombozi ni Sasa

    Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s. Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au...
  18. B

    Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

    Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa. Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo. Huu...
  19. Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu. Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii. Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
  20. Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…