Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka,
Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo
1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji.
2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
Salaam Wazazi/Walezi
Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya
1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa.
2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.
Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
Kupitia #Twitter na #Instagram, Wizkid ameandika "Kwa sababu ya hali zisizotarajiwa, More Love, Less Ego Tour imeahirishwa hadi mwishoni mwaka 2023, Tiketi zote zilizonunuliwa zitapewa kipaumbele katika tarehe mpya".
#Wizkid alitarajiwa kuanza ziara hiyo Nchini Marekani Ijumaa Machi 3, 2023...
Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito.
Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022.
Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku.
Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana.
Mimi nimempa nini Mungu?
Ni rehema...
Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee.
Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
Habari watu wote,
Kwa mara nyingine tena naomba kwa heshima na taadhima,niwaletee offer ya msimu wa sikukuu.
Tunawaletea mfumo wa kufanya mauzo kwenye biashara yako mfano supermarket,Pharmacy kwa bei ya punguzo la mwaka hususani kipindi hichi cha msimu wa sikukuu.
Mfumo wetu kiufupi...
Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka...
Vladimir Putin has pulled out of his "giant end of year press conference" this year, a Kremlin official has revealed, sparking rumours that he is...
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.
Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.
Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na Mh Polepole (MB) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.