Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200.
Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
Maafisa nchini Myanmar awamemkamata balozi wa zamani wa Uingereza nchini humo na mumewe, mchoraji maarufu ambaye wakati mmoja aliwahi kuwa mfungwa wa kisiasa. Utawala wa kijeshi wa Myanamr umesema wanatuhumiwa kwa kukiuka sheria za uhamiaji.
Vicky Bowman, ambaye alihudumu kama balozi kuanzia...
Kiongozi wa Kijeshi wa Nchi hiyo, Min Aung Hlaing ameongeza muda wa hali ya hatari kwa Miezi 6 baada ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Kijeshi kuunga mkono kwa kauli moja huku akisema kukosekana kwa utulivu kwa kumekwamisha juhudi za kutekeleza mpango wa amani
Jeshi lilitangaza hali ya hatari...
Wanaharakati wanne wa demokrasia akiwemo Mbunge wa zamani Phyo Zeya Thaw wamenyongwa na jeshi la Myanmar wakituhumiwa kwa mipango na kufanya njama za vitendo vya ugaidi
Wanaharakati hao walihukumiwa kifo katika kesi za siri mwezi Januari na Aprili, kwa kituhumiwa kwa kusaidia waasi kupigana na...
Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi.
===========
Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
Mahakama nchini Myanmar imemhukumu jela aliyekuwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi miaka mingine minne, kwa kosa la kumiliki na kuingiza vifaa vya mawasiliano- walkie-talkies kinyume cha sheria lakini pia kuvunja masharti ya kupambana na Covid-19.
Hukumu hii ya pili inakuja, baada ya Suu Kyi...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani.
Akizungumza wakati wa ziara...
Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha
Aung San Suu Kyi ambaye amekuwa kifungo cha nyumbani tangu Februari 2021 baada ya Jeshi kufanya Mapinduzi...
Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba.
Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa wananunua gesi ya oksijeni ili kuwanusuru ndugu zao wanaowatibia nyumbani.
Wanaharakati wamelaumu jeshi...
Utawala wa kijeshi wa Myamar umelitangaza kundi pinzani la serikali ya Umoja wa kitaifa kuwa kundi la kigaidi na kulishutumu kuhusika na mashambulizi ya mabomu, uchomaji moto na mauaji. Kumekuwa na ripoti za mashambulizi ya kila siku ya mabomu huku makundi ya wanamgambo yakiundwa kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.