Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘National e-Procurement System of Tanzania’?
For more info: freelancer3518@gmail.com