mzabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  2. O

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded RC Chalamila: Mzabuni arudishe fedha za Mchinga Temeke aliowauzia meza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026. Pia soma ~ DC wa Temeke na Mkurugenzi wanauza meza kwa wafanyabiashara wadogo bila Risiti wala Control...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘National e-Procurement System of Tanzania’?

    Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘National e-Procurement System of Tanzania’? For more info: [email protected]
Back
Top Bottom