Responded RC Chalamila: Mzabuni arudishe fedha za Mchinga Temeke aliowauzia meza

Responded RC Chalamila: Mzabuni arudishe fedha za Mchinga Temeke aliowauzia meza

Ila Kwa Kwa kweli ukiwatizama Viongozi wa sasa wanashangaza sana. Yani wengi wao Wala hawajishughulishi na kuwatumikia Wananchi Bali kufukuzia ulaji tu.
Kwani mfumo wa kuwapata siku hizi upoje?
 
Machinga aliyefukuzwa asifanye biashara amepandishiwa bei ya mafuta Hadi 4,000/= .
Duniani hakukaliki na akhera hakuendeki
 
Back
Top Bottom