Habari wakuu hapa tiyari nimelipa kodi ya jengo 2000 nimenunua umeme wa 5000, serikali wamefanya yao!
Kimsingi najivunia kuwa mzalendo, maana wapinzani wametuchelewesha sana, mambo kama haya mazuri walikuwa wanayazuia bungeni, wanajifanya kuwatetea wananchi ambao wengi wao hawajitambui!
Saivi...
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema...
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi.
Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania
Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne
Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
Wadau wa JF
Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo
Malendo Nambari Moja akichapa kazi
Matokeo ya haraka
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu
KaziIendelee
Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu
Habar watanzania poleni kwa majukumu
Mpaka Sasa kichwa changu naona kipo tu kama mzigo sababu ubongo ulishindwa kuelewa chochote maana Sabaya nilimuona mzalendo Sana Mpaka nilimkingia kifua Mbele za watu kumbe nilikua namtetea Mwizi na mnyang’anyi
Pia, Sabaya katika watu 5 nilio waona...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru.
Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai.
Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Katiba mpya mzee Warioba amesema hayati Sokoine alikuwa ni mzalendo wa kweli na hajaona mfano wake hadi sasa
Warioba anasema Sokoine hakuhitaji kujitangaza wala kuvaa tai na skafu ya bendera bali ile sura na macho yake yalitosha kueleza uzalendo ulioko moyoni...
Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele
Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021.
TWITTER
For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
RAIS WETU MPENDWA MAMA #SAMIA SULUHU HASSAN NI MZALENDO WA TAIFA HILI, ALIKOTOKA NA ALIPO, TUNAMUAMINI NA TUMUAMINI Fuatana Nami YonaPAVEA
Rais Mama #SAMIA SULUHU HASSAN amezaliwa, Amekulia, amesomea madarasa mengi Tanzania, Ni Muumini wa Dini Yetu pendwa ya #Kiislamu Tanzania, Amejaliwa Watoto...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
Habari,
Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja na wakuu wa nchi akiwemo SPIKA wa bunge na hata RAISI mwenyewe. Hao viongozi wengine ndo hawasemeki...
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni...
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.
Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
Mwaka 2015 mara baada ya Mh. Rais kuapishwa, kila mwezi takwimu zenye kuvunja rekodi kuhusu makusanyo ya kodi zilikuwa zikitangazwa na watu wakiweka vifua mbele kwamba nchi yetu inaelekea kuwa donor country.
Muda ulivyozidi kwenda, tulishuhudia sekta mbalimbali zikisinyaa. Biashara za kati...
Watu ni wengi wengi, wengi sana na wamekaa kwa utulivu kabisa wakiwa na huzuni isiyo mfano.
Kadhalika viongozi mbalimbali wako uwanjani tayari kutoa heshima za mwisho.
Updates;
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wameshaketi katika sehemu walizopangwa na sasa wanasubiriwa viongozi wakuu wa...
Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Ipo idadi kubwa sana ya Watanzania ambao wameajiriwa katika sekta binafsi, na kama tunavyofahamu, mara nyingi sekta binafsi...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.