Wakati Tanzania ikivutana na kiwanda cha saruji cha Dangote kuhusu gharama za uendeshaji biashara, kampuni hiyo ya Nigeria imesaini makubaliano na OCP ya Morocco kuanzisha kiwanda kikubwa barani Afrika cha kuzalisha mbolea na kufanya biashara.
======
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikivutana na...