SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa Uchimbaji wa gesi hiyo baina ya Serikali na kampuni ya Helium One Global Limited kupitia...
Nimepata tenda ambao mwanzo nilidhani ni kaz nyepesi ila kwa sasa naona ugumu ukizingatia niko mikoani na hakuna watu wenye taaarifa kamili
Kama kuna mtu mwenye idea au ni wapi NITAWAPATA wazalishaji wa item hyo za bomba
Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake.
Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
Wakati Tanzania ikivutana na kiwanda cha saruji cha Dangote kuhusu gharama za uendeshaji biashara, kampuni hiyo ya Nigeria imesaini makubaliano na OCP ya Morocco kuanzisha kiwanda kikubwa barani Afrika cha kuzalisha mbolea na kufanya biashara.
======
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikivutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.