Natafuta msambazaji au mzalishaji wa bomba hizi zinazoitwa Pvc pipe natafuta nch 8 au 6

Natafuta msambazaji au mzalishaji wa bomba hizi zinazoitwa Pvc pipe natafuta nch 8 au 6

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Nimepata tenda ambao mwanzo nilidhani ni kaz nyepesi ila kwa sasa naona ugumu ukizingatia niko mikoani na hakuna watu wenye taaarifa kamili

Kama kuna mtu mwenye idea au ni wapi NITAWAPATA wazalishaji wa item hyo za bomba
 
Nitatoa Kitita kama nitafanikiwa deal langu
 
Nimepata tenda ambao mwanzo nilidhani ni kaz nyepesi ila kwa sasa naona ugumu ukizingatia niko mikoani na hakuna watu wenye taaarifa kamili

Kama kuna mtu mwenye idea au ni wapi NITAWAPATA wazalishaji wa item hyo za bomba
Weka na picha
 
Kiwanda cha Kiboko Dar au Lodhia Arusha
 
Nimepata tenda ambao mwanzo nilidhani ni kaz nyepesi ila kwa sasa naona ugumu ukizingatia niko mikoani na hakuna watu wenye taaarifa kamili

Kama kuna mtu mwenye idea au ni wapi NITAWAPATA wazalishaji wa item hyo za bomba
Sitaki pesa ysko,
Chukua hii

Hapa kuna baadhi ya mawasiliano ya viwanda vya PVC na plastiki nchini Tanzania:

1. Plasco Ltd – Dar es Salaam
- Anwani: Plot No. 74, Pugu Road, Dar es Salaam.
- Simu: +255 22 285 3941 / 282 3965
- Email: [email protected]
- Tovuti: [www.plasco.co.tz](http://www.plasco.co.tz)

2. Kiboko Plastics Ltd – Dar es Salaam
- Anwani: Mbezi Beach, Dar es Salaam.
- Simu: +255 22 270 0200 / 270 0222
- Email: [email protected]
- Tovuti: [www.kibokoplastics.com](http://www.kibokoplastics.com)

3. Superdoll Plastics – Kibaha
- Anwani: Plot 95, Soga-Kibaha, Dar es Salaam.
- Simu: +255 22 277 3240
- Email: [email protected]
- Tovuti: [www.superdoll.co.tz](http://www.superdoll.co.tz)

4. A One Products and Bottlers Ltd – Dar es Salaam
- Anwani: Mbezi Beach, Dar es Salaam.
- Simu: +255 22 277 3432
- Email: [email protected]
- Tovuti: (Hakuna tovuti rasmi iliyo wazi)

5. Tanzania PVC Pipes Ltd – Dar es Salaam
- Anwani: Plot No. 105, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
- Simu: +255 22 277 4901
- Email: [email protected]

Kwa maelezo zaidi kuhusu bei, vipimo na huduma zao, unaweza kuwasiliana nao moja kwa moja kwa kutumia mawasiliano yaliyo hapo juu.
 
Sitaki pesa ysko,
Chukua hii

Hapa kuna baadhi ya mawasiliano ya viwanda vya PVC na plastiki nchini Tanzania:

1. Plasco Ltd – Dar es Salaam
  • Anwani: Plot No. 74, Pugu Road, Dar es Salaam.
  • Simu: +255 22 285 3941 / 282 3965
  • Email: [email protected]
  • Tovuti: [www.plasco.co.tz](http://www.plasco.co.tz)

2. Kiboko Plastics Ltd – Dar es Salaam
  • Anwani: Mbezi Beach, Dar es Salaam.
  • Simu: +255 22 270 0200 / 270 0222
  • Email: [email protected]
  • Tovuti: [www.kibokoplastics.com](http://www.kibokoplastics.com)

3. Superdoll Plastics – Kibaha
  • Anwani: Plot 95, Soga-Kibaha, Dar es Salaam.
  • Simu: +255 22 277 3240
  • Email: [email protected]
  • Tovuti: [www.superdoll.co.tz](http://www.superdoll.co.tz)

4. A One Products and Bottlers Ltd – Dar es Salaam
  • Anwani: Mbezi Beach, Dar es Salaam.
  • Simu: +255 22 277 3432
  • Email: [email protected]
  • Tovuti: (Hakuna tovuti rasmi iliyo wazi)

5. Tanzania PVC Pipes Ltd – Dar es Salaam
  • Anwani: Plot No. 105, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
  • Simu: +255 22 277 4901
  • Email: [email protected]

Kwa maelezo zaidi kuhusu bei, vipimo na huduma zao, unaweza kuwasiliana nao moja kwa moja kwa kutumia mawasiliano yaliyo hapo juu.
Angesema yuko mkoa gani!!
 
Back
Top Bottom