Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo...