Mzee Butiku anaweweseka, mkutano wake usubiri majibu ya Tume ya Jaji Chande yatoke

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.

Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.

Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
 
Mzee Butiku ni project ya CCM ya kuwaghilibu watu wamkubali kisha aanze ushawishi wa kuwaingiza watu kwenye maridhiano ya kilaghai lakini uzuri tumeshamstukia hatudanganyiki.
 
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo. Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume. Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Matokeo ya tume tayari yanajulikana.
 
Mzee Butiku ni project ya CCM ya kuwaghilibu watu wamkubali kisha aanze ushawishi wa kuwaingiza watu kwenye maridhiano ya kilaghai lakini uzuri tumeshamstukia hatudanganyiki.
Mnashikiwa akilini zenu na Mange kimambi
 
Hakuna mtu aliyewazuia kusubiria matokeo ya hiyo tume yenu, raia wengine wanaendelea na maisha yao na harakati zao kivyao ndio maana unaowana Kihongosi na Mwigulu wanaendelea na harakati zao pia.
Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.

Hapa kwetu anatokea kilaza anakwambia tuzuie uchaguzi usifanyike, maana yake mvunje Katiba na wewe unamkubalia kichwakichwa tu bila kujua na wewe kumkubalia unaungana nae kuvunja Katiba na sheria zetu. Utapigwa risasi tu na watu walioapa kuilinda Katiba. Tuache uzuzu unaogharimu maisha yetu na watoto wetu. Lissu kwakuwa anajua anavunja Katiba na vifo vinaweza kutokea kama akivunja Katiba alichukua hatua ya kuiondoa familia yake yote hapa nchini. Lema hivyohivyo, Kimambi hivyohivyo, na Heche hivyohivyo; na kuyaacha mavambi yapigwe risasi.
 
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.

Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.

Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Mwigulu Nchemba asubiri majibu ya tume
 
Tume ipi asuburi, ingekuwa tume iba uhalali hapo sawa. Ama unadhani huyo Butiku hajui kuwa ni tume ya kumsafisha Samia?
 
Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.

Hapa kwetu anatokea kilaza anakwambia tuzuie uchaguzi usifanyike, maana yake mvunje Katiba na wewe unamkubalia kichwakichwa tu bila kujua na wewe kumkubalia unaungana nae kuvunja Katiba na sheria zetu. Utapigwa risasi tu na watu walioapa kuilinda Katiba. Tuache uzuzu unaogharimu maisha yetu na watoto wetu. Lissu kwakuwa anajua anavunja Katiba na vifo vinaweza kutokea kama akivunja Katiba alichukua hatua ya kuiondoa familia yake yote hapa nchini. Lema hivyohivyo, Kimambi hivyohivyo, na Heche hivyohivyo; na kuyaacha mavambi yapigwe risasi.
Mbona hao wanaolinda katiba hawakumpiga risasi aliyevunja katiba kwa kuzia vyama vingine vya siasa tofauti na chama chake kufanya mikutano ya siasa?

Mbona hawakuwapiga risasi waliowaingiza bungeni wabunge 19 wasio na udhamini wa chama cha siasa?

Hao walinda katiba mbona hawakuwapiga risasi waliokataa kinyume na katiba kumruhusu Mpina kugombea urais?
 
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.

Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.

Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Sidhani kama tume itatoa majibu yeyote wanabuy time ili watu wasahau, ngoja tuone.
 
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.

Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.

Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Yeyote anayesubiria majibu ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa mauaji, akitarajia itakuja na taarifa ya kweli, atakuwa hana akili kabisa. Majibu ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa, yanaeleweka, kwa sababu ameunda tume bandia imsaidie kumsafisha. Nadhani umesikia pia amepora pesa yetu na kutapanya huko nje kwa lengo hilo hilo. Hiyo ndiyo sababu wote wenye akili timamu hawana muda wa kupoteza kwenda kufanya mazungumzo na hiyo tume najisi.

Kama kungekuwa na dhamira njema, ingeundwa tume huru na chombo kilicho huru, siyo na na msimamizi mkuu wa muuaji, amvaye tayari amekwishasifia kitendo cha mauaji.
 
Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.

Hapa kwetu anatokea kilaza anakwambia tuzuie uchaguzi usifanyike, maana yake mvunje Katiba na wewe unamkubalia kichwakichwa tu bila kujua na wewe kumkubalia unaungana nae kuvunja Katiba na sheria zetu. Utapigwa risasi tu na watu walioapa kuilinda Katiba. Tuache uzuzu unaogharimu maisha yetu na watoto wetu. Lissu kwakuwa anajua anavunja Katiba na vifo vinaweza kutokea kama akivunja Katiba alichukua hatua ya kuiondoa familia yake yote hapa nchini. Lema hivyohivyo, Kimambi hivyohivyo, na Heche hivyohivyo; na kuyaacha mavambi yapigwe risasi.
Wapiga risasi ni akina nani hao na wanaowalenga na kuwaua ni akina nani na mtoa amri kwamba raia wauawe ni nani na kwanini raia wauawe bila ya kupelekwa mahakamani? Watu wanapeleka familia nje ya nchi hata kutoka kwenye nchi sizizo na vikosi vya mauaji vilivyo sponsored na serikali kama ilivyo Tanganyika, so your argument is completely irrelevant. Unataja mpaka ambao walienda kwa hustles za kawaida, that's so stupid. Kwa nchi ambayo abductions, sodomy, torture and killings hata mimi ningekuwa mwanasiasa wa opposition ninayeishi Tanganyika nisingetaka familia yangu iishi huko.
 
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.

Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.

Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Ccm ina wajinga wengi sana kiasi kwamba ghala na maghala yamejaa wajinga mtupu wenye elimu zao na wasio na elimu wote wakiwa ccm wanakuwa Level moja.

Haya kila mwenye macho ameyaona kwenye kampeni zao watu kubebwa kwenye madampa, Tractor na fuso ni mjinga pekee anaweza hatarisha maisha yake.

Mwambien mzee wenu hakuna atakaye milia maanani kwenye mkutano wake ma wenzie.
 
Back
Top Bottom