Inamsafisha kwenye lipi? Samia alisimamia Katiba ya 1977 inayoelekeza nchi itawaliwe vipi na uchaguzi ufanyikeje. Yaani ulitaka afanye nini, aachane na Katiba na kuwasikiliza chadema wanachotaka?
Unapokuwa na vijana ambao wako tayari kupokea maagizo ya aina yoyote bila kuyachuja vijana hao hawafai kuweko kwenye jamii. Yaani unakuwa na kijana ambae anaweza kuhamasishwa ambake mama yake na yeye akatekeleza bila kufikiria kijana huyo hafai kuishi mpaka hapo itakapogundulika kuwa hana akili timamu.
Unakuwa na vijana ambao wanashindwa kujua kuwa usafiri wa mwendokasi unatumiwa na watanzania wa kawaida kabisa nchini vijana hao hawafai kuwepo kwenye jamii. Vijana ambao hawawezi kutafakari kwanini Mange anatukana akiwa nje ya nchi, watoto wa Lissu, Lema, na Heche hawako nchini wote vijana hao hawana faida kwenye jamii. Vijana ambao wanadhani maisha yao ya kila siku hayahitaji uwepo wa vituo vya polisi kwenye mitaa yao vijana kama hao kuwafyeka ni sawa tu.