Habari zenye uhakika
Mzee mamluki WA YANGA
Mzee magoma ameonekana maeneo ya MWANZA Toka jana
Akirindima maeneo karibu na SEHEMU mechi inapoenda kyfanyika
Wanakamati WA YANGA msiliachie kirahisi hili tusijeadhibiwa ama yakatukuta ya Azam na Simba
Alldbest
Akihojiwa leo baada ya ushindi wa goli nne,amekiri ule sio uwezo wa Yanga kwani walikwenda kuwaangukia wazee na yeye anasema walichomoa waya mmoja wa mechi za ligi.
Hata hivyo bado waya wa mechi za kimataifa hawajachomoa hadi viongozi waeleweke.
Ameendelea kusema kuwa,wakieleweka tu hata...
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu.
Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga..
Kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo Yanga kule ligi ya mabingwa...
Wakuu kurujuni imeanza kazi,
Kuna wahuni wamejimilikisha timu ilihali wamekuja mjini juzi. Mzee Magoma hayupo peke yake rudisheni timu kwa wenyewe mambo yakae sawa.
PIA SOMA
- Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?
Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya mawe.
Kwahiyo kucheza na Yanga ni kucheza na moto wa makaa ya Mawe. Pole sana mzee.
Soma Pia: Mzee...
Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao walianzishe. Kushindwa kesi kwa Mzee Magoma na wenzake ni manusura kwa Simba.
Wachambuzi na wanahabari wetu...
Sikiliza dakika ya 10 sekunde ya 40 na kuendelea, Mzee Magoma anasema kuwa viongozi wote wa Yanga walio chini ya engineer Hersi Said ni Mazezeta.
Yaani kwakifupi anasema kuwa makamu wa rais wa Yanga ndugu Arafat Haji ni zezeta, Ally Kamwe ni zezeta, Simon Patrick ni zezeta nk.
Swali kwa ofisi...
Magoma hawezi kulipia wakili bali kapewa wakili na wale jamaa zake kwa gharama zao. Aliyepeleka Yanga mahakamani ni Magoma, viongozi wa Yanga wanajibu mashitaka yake tu mahakamani. Kwahiyo akina Magoma walitaka Yanga wasiende mahakamani kujibu hoja zao...
Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?
S500 TV baada ya kuhangaikia sana kupata maudhui yanayovutia kituo chake sasa hivi imepata bingo kwa Mzee magoma. Ni kituo pekee kinachohangaika sana na Magoma kila siku siku hizi Wanapata rizki huko. Vituo uchwara. Ubaya ubwela wa nje ya uwanja. Wakumbuke kuwa akina Magoma wako wengi mitaa.ya...
Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili.
Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la Wadhamini la Yanga, amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu akiendelea kutafuta haki yake.
Soma Pia...
Juma Ally Magoma ameuonya uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini wa klabu ya Yanga akisema kitendo hicho ni hatari kwani yeye alishitaki bodi ya wadhamini ambayo sio kosa kuishitaki katika mahakama za kawaida lakini uongozi wa klabu una mahakama zake za soka.
Amesema...
Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga.
Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na...
Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli.
https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa.
Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo.
Pia Soma
- Juma...
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo itatolewa katika Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.
Mwanamichezo wetu...
Huyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa.
Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya mambo ya kafara atutaki embu viongozi ongeenae please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.