Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo tarehe 19 Julai 2024, maombi yaliopelekwa na Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Michezo ya Young Africans (YANGA) kwa ajili ya kuongezewa muda wa kuwasilisha mapitio (Review) ya uamuzi wa Mahakama hiyo katika Kesi ya Kiraia Na. 187 ya 2023...
Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
Salam!
Moja kwa moja napenda kumpongeza Mzee Juma Magoma kwa ushujaa wake wa kusimama mbele ya utawala wa Farao wenye lengo la kupora hazina ya wanachama wa Yanga. Inahitaji utulize kichwa kuelewa hoja za mzee wetu Magoma dhidi ya utawala wa Farao na mhabeshi.
Ni wazi kwa kizazi hiki cha yanga...
Hii ni mashine moja tu inaitwa Magoma, akija Mwaipopo je? Inasemekana Mwaipopo ni machachali sana, Magoma anasubiri.
Katika mahojiano yake na Sports HQ, Magoma amesema kwamba Haji Manara wakati akiishi Magomeni, alikuwa analewa mpaka anadondoka, anapata madonda, na pia akilewa alikuwa...
Inawezekana vipi katika Mauzo ya Jezi zetu Yanga SC inapata Shilingi 1,300/= tu kwa Jezi moja huku Jezi zikiwa zinauzwa kuanzia Shilingi 35,000/= hadi 40,000/= hapa Dar es Salaam ila huko Mikoani kote zinauzwa kuanzia 80,000/= hadi 100,000/=?
Tatizo tu ni kwamba Mafanikio ya Uwanjani...
Kesi ya Msingi ya Mzee Magoma ilikuwa ni kwamba " Uongozi uliopo wa Yanga hauna uhalali kwa sababu umeingia madarakani kwa mujibu wa katiba ya mwaka 2020 ambayo yeye Mzee Magoma anasema katika hiyo sio halali kwa sababu haijasajiliwa RITA na kwamba katika iliyo sajiliwa RITA ni ile ya mwaka...
Akihojiwa na Youtube TV ya S500 TV, Mzee Magoma ameeleza mengi kujibu hoja za uongozi wa Yanga, na mojawapo ni kuweka wazi kuwa Ali Kamwe (msemaji wa Yanga) ni shabiki wa Simba na alilijua hilo zamani tangu Kamwe akiwa mdogo.
Pia amesema Haji Manara yeye hilo liko wazi, na kuongeza wengine...
Kuna upuuzi mwingine ni wa viwango vya lami, mahakama pamoja na weledi wake ilishindwa kunusa hali yoyote ya uhuni kwa awa wakina magoma na mwenzake? Wajumbe wa Baraza la wadhamini aliowashtaki magoma kipindi kile ni watu maarufu na wanajulikana ata makazi yao walipo na ata ofisi zao...
Kauli iliyotolewa na afisa habari wa Yanga bw Ally Kamwe kwa kuwaita wa ovyo watu waliotinga mahakamani kupinga uhalali wa uongozi wa Yanga na kupewa ushindi ni kuidharau Mahakama iliyotoa hukumu na kuwapa ushindi watu hao baada ya kusikiliza madai yao na kuona yana mashiko.
Nadhani ule muda...
Hello!
Mimi si shabiki wa mpira kivile ingawa naipenda Yanga kuliko Simba . Hakuna timu nitavutiwa mpaka nikatoa pesa yangu kununua jezi.
Turudi kwa Mzee Magoma, huyu kafanya haki yake kikatiba na mtu yeyote akiona Mzee kakosea milango ya mahakama iko wazi sio kuishia kuropoka vijiweni tu.
Hiyo...
Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji.
Yanga inashinda hivyo hakuna...
Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa
Tumemsikia Mwanasheria wa Yanga akizungumza Pumba tupu (sijui alisoma shule gani), Zaidi ya vitisho kwa wenye timu, hakuna lolote...
"Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.