Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa.
Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu mtu mwenye sifa hiyo atakisaidia chama kuwafunga breki wanachama...
Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa.
Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa.
Siku zote ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa katika kuzungumza kwake licha ya umri alionao tungeshuhudia vituko vingi katika maneno yake...
Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu.
Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi.
Mzee Mangula hapa nadhani wa kumuuliza zaidi ni mwenyekiti wake ambae alisema ana habari njema kuwa wamefufua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.