mzee mangula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

    Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe. Kinana ni mzee kuliko wasira...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzee Mangula kuhusu kupewa Sumu: Mpaka leo sijui kilinipata nini, Ila nilitapika sana na kuanguka na kuzimia Bafuni

    Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM amesema; "Wakati huo tulikuwa tumeshajipanga ndio kipindi ndio kipindi ambacho walitokea wengi wanataka uongozi. Na Mimi nilianza kwa kufuatilia. Nilianzia mkoa wa Kagera nikaenda Mwanza kwenye ishu ambazo watu...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Polepole: Polisi walisema Mzee Mangula alilishwa sumu, waulizwe uchunguzi uliishia wapi?

    Humphrey Polepole ameibua tena sakata la kupewa Sumu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philip Mangula ambapo amemtaka aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam wakati huo, Lazaro Mambosasa kueleza umma nani alifanya tukio hilo. Amesema matukio ya Viongozi kudhurika yaliwahi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inahitaji Mzee wa mafaili mwingine kama Mzee Mangula baada ya kujiuzulu kwa Komredi Kinana kuelekea 2025

    Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu mtu mwenye sifa hiyo atakisaidia chama kuwafunga breki wanachama...
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa. Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kila niisikiapo sauti ya Mzee Mangula iliyojaa mamlaka na unyenyekevu nafarijika sana

    Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Mangula ni moja watu waliojaliwa kipaji cha hali ya juu cha uongozi, ni hazina

    Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa. Siku zote ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa katika kuzungumza kwake licha ya umri alionao tungeshuhudia vituko vingi katika maneno yake...
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CCM, Mzee Mangula: Bagamoyo tuliahidi kujenga Gati sio Bandari

    Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu. Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi. Mzee Mangula hapa nadhani wa kumuuliza zaidi ni mwenyekiti wake ambae alisema ana habari njema kuwa wamefufua...
Back
Top Bottom