PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Humphrey Polepole ameibua tena sakata la kupewa Sumu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philip Mangula ambapo amemtaka aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam wakati huo, Lazaro Mambosasa kueleza umma nani alifanya tukio hilo.
Amesema matukio ya Viongozi kudhurika yaliwahi kujadiliwa hadi kwenye Vikao vya Kamati Kuu ya CCM lakini anashangaa kwanini Katibu Mkuu wa CCM hazungumzi kuhusu hilo wakati linaweza kusaidia kuibua uchunguzi wa sababu za Kifo cha Rais Magufuli.