mzee mwandambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Polisi msipomkamata na kumfikisha mahakamani Mzee Mwandambo, mtaendelea kupoteza zaidi uaminifu kwa umma

    Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video zinazomuonyesha akiwa ameshika vifaa vinavyofanana na silaha za kuchezea huku akitoa kauli za kupinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…