Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video zinazomuonyesha akiwa ameshika vifaa vinavyofanana na silaha za kuchezea huku akitoa kauli za kupinga vurugu na maandamano nchini.
"Polisi msipomkamata na kumfikisha mahakamani mtu huyu, mtaendelea kupoteza zaidi uaminifu kwa umma. Si juzi tu afisa wenu alikuwa akizungumza kwa nguvu kuhusu jambo hili hili? Angekuwa ni CHADEMA; hiyo shughuli ya Sisty Nyahoza ingekuwa bize kutishia kusimamisha, au mbaya zaidi," ameeleza Kibatala kupitia ukurasa wake.
Pia soma Mwandambo: Naona Watanzania tumeichoka amani tunataka tuingie kwenye vurugu kwa kuwasikiliza wachochezi