wakili kibatala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Kesi ya ugaidi Freeman Mbowe, Wakili Kibatala alivyomsulubu DCI Kingai

    Wakuu ! Tukiwa tunasubiri siku ya Ijumaa saa 8:30 mchana, ambapo Mh Tundu Lissu atakuwa anamuongoza DCI Kingai kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu nimeona niwaletee kumbukumbu ya Wakili Kibatala dhidi Ya DCI Kingai Kesi ya Mbowe na Wenzake: Maswali ya Mawakili na Majibu ya ACP Kingai...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Polisi msipomkamata na kumfikisha mahakamani Mzee Mwandambo, mtaendelea kupoteza zaidi uaminifu kwa umma

    Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video zinazomuonyesha akiwa ameshika vifaa vinavyofanana na silaha za kuchezea huku akitoa kauli za kupinga...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitatoa taarifa rasmi kuhusu Askofu Gwajima Saa 11 Jioni

    “Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho pia lakini Mungu wa mbinguni atatutia nguvu” Ni maneno ya Wakili Peter Kibatala ambaye ni wakili...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Niffer na wenzie walipigwa. Mahakama imeamuru atibiwe

    Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kibatala juu ya Polepole kusikilizwa Oktoba 15

    Maombi yaliyowasilishwa mahakamani na Wakili Peter Kibatala Oktoba 7, 2025 akiiomba mahakama itoe amri ya Polepole kufikishwa mahakamani ama mamlaka husika ziseme yupo wapi kufuatia tukio la kutekwa kwa Balozi huyo wa zamani nchini Cuba ambaye taarifa zake zilisambaa katika mitandao ya kijamii...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ombi la kuletwa kwa Humphrey Polepole, mahakama yamjibu Kibatala HAIWEZEKANI

    Maombi ya dharura namba 24511 ya mwaka 2025 yaliyofunguliwa na Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanne (4) imesikilizwa leo, Alhamisi Oktoba 09.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

    Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

    Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo. Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nimemwambia Hakimu akasome Sheria vizuri kabla ya kufanya maamuzi ya Shitaka la Afande Fatma

    Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ikipendeza Serikali imtumie Wakili Kibatala kwa zile kesi nje ya nchi

    Kesi anazosimamia Wakili Msomi Kibatala kwa asilimia 95 zinapata ushindi. Mara nyingi Wakili huyu anasimamia kesi za wapinzani lakini anapata ushindi. Kwa kuwa Tanzania tuko wamoja na nchi ni yetu sote ninaishauri SERIKALI imjumuishe Wakaili Msomi huyu kwenye zile kesi za Kamataifa dhidi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala ni Wakili mzuri lakini kinachomsumbua ni ubaguzi

    Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha: 1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki? 2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza...
Back
Top Bottom