The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu kuwasilishwa mahakamani hapo.
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025