Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha kuharibu mwenendo wa kesi.

Awali kesi hiyo iliendeshwa kwa njia ya Mtandao baadaye Mahakama ikaelekeza mtuhumiwa anayekabiliwa na tuhuma za Uhaini na Kutoa Taarifa za Uongo afikishwe Mahakamani Mei 19, 2025 shauri hilo litakapoendelea.

kwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?

si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
 
Kuna mamluki watakuja kufanya fujo.

Tunawaomba ndugu mahakimu, wanasheria, mawakili, polisi, karani wa mahakama na wale wooote wanaofanya shughuli za kimahakama,

Chonde chonde mtuachie watu wetu watakaoleta fujo tumalizane nao sisi wananchi wenyewe, hilo ni personal msiingilie tutamalizana nae wenyewe.
 
Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha kuharibu mwenendo wa kesi.

Awali kesi hiyo iliendeshwa kwa njia ya Mtandao baadaye Mahakama ikaelekeza mtuhumiwa anayekabiliwa na tuhuma za Uhaini na Kutoa Taarifa za Uongo afikishwe Mahakamani Mei 19, 2025 shauri hilo litakapoendelea.

Advocate Kibatala, katika historia ya tanganyika/Tanzania sijawahi sikia kuwa wasikilizaji katika mahakama wamefanya fujo!

My worry ni kuwa polisi wanaweza kuwabugudhi makusudi wasikilizaji , ie wakaanzisha vurumai na mitutu yao na kuzua tafrani say ya wananchi kukimbia huko na huko.....ikatafsiliwa na polisi hao hao na CCM kama wasikilizaji wameanzisha fujo
 
Kibatala ni tunu kwa taifa hili. Hongereni mawakili, mmepigana hatimaye wamerusha taulo. 😁
Huyu zuzu ndio wa kwanza kuingia mitini ukiona anavyotumbua macho kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi wakati yeye ndio anavunja sheria ni maajabu sana.
downloadfile-1.jpg
 
Kibatala ni tunu kwa taifa hili. Hongereni mawakili, mmepigana hatimaye wamerusha taulo. 😁
Embu lishukuru bunge la ulaya kwanza hata vitu vidogo kama hivyo huvijui, yani wewe ndio hujui hata kinachoendelea
 
Kuna mamluki watakuja kufanya fujo.

Tunawaomba ndugu mahakimu, wanasheria, mawakili, polisi, karani wa mahakama na wale wooote wanaofanya shughuli za kimahakama,

Chonde chonde mtuachie watu wetu watakaoleta fujo tumalizane nao sisi wananchi wenyewe, hilo ni personal msiingilie tutamalizana nae wenyewe.
Na hii ndio hofu yangu
 
Back
Top Bottom