Yes huo ndio ukweliTukishukuru Bunge la ulaya na tuwaache mawakili wetu akina Kibatala?
Yes huo ndio ukweliTukishukuru Bunge la ulaya na tuwaache mawakili wetu akina Kibatala?
Kila kitu kitatimizwa kwa Lissu sababu anayoyafanya ni ya hakikwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?
si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
gentleman,Kila kitu kitatimizwa kwa Lissu sababu anayoyafanya ni ya haki

hiyo ni muhimu sana😂 😂 😂 wacha tusubirie hiyo tareh nijionee, nimeitunza hii Comrade.

hiyo sifahamu but fujo lazima alete mahakamaniatafanyiwa upekuzi nyumbani kwake kuanzia saa tisa usiku hadi saa 11 jioni

na bado mpaka december na mawakili waache kuweka mapingamizi maana kila pingamizi inakuwa ni kesi mpyakwanini hii kesi inarushwa rushwa.?
Niite sharifa akipata urais 2025Safi sana tundu lissu ni shujaa wa Tanzania, mzalendo wa kweli, Mungu yupo upande wake na ndiye rais ajaye 2025-2030 kwa tume huru ya uchaguzi!
" heche"Hata kuandika kwenyewe hujui halafu unataka ubungekwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?
si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
Tahadhari iliyotolewa ni pamoja na kuepuka michezo kama hiyo ili ikijitokeza kuwe na nguvu yakupigia kelele.kila mtu atimize wajibu wake ili kupatikane pakuanzia mambo yakienda tofauti.Ni wao wenyewe ndio watatuma uvccm wavae nguo za bavicha ili waje kufanya ghasia wao wenyewe ndio wanaharibu utulivu wa nchi hii ni wao wenyewe ndio wanateka wanapoteza wanaua.
Mchezo wenu unajulikana.
Hiyo ni kazi ya polisiKuna mamluki watakuja kufanya fujo.
Tunawaomba ndugu mahakimu, wanasheria, mawakili, polisi, karani wa mahakama na wale wooote wanaofanya shughuli za kimahakama,
Chonde chonde mtuachie watu wetu watakaoleta fujo tumalizane nao sisi wananchi wenyewe, hilo ni personal msiingilie tutamalizana nae wenyewe.
Sisi tunaheshimu Mahakama lakini CCM na Mapolisi wao ndio huwa hawaheshimu Mahakama.Tahadhari iliyotolewa ni pamoja na kuepuka michezo kama hiyo ili ikijitokeza kuwe na nguvu yakupigia kelele.kila mtu atimize wajibu wake ili kupatikane pakuanzia mambo yakienda tofauti.
Ukimcheki tu kwa sura unajua huyu kiumbe alipata zero form 4!Huyu zuzu ndio wa kwanza kuingia mitini ukiona anavyotumbua macho kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi wakati yeye ndio anavunja sheria ni maajabu sana. View attachment 3326127
Itoshe tu kusema wewe ni taahii.....rakwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?
si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
Heche ni zaidi yako wewe na ukoo wako woteHeche ni miongoni mwa wapumbavu wakubwa duniani.
calm down muerevu mropokajiItoshe tu kusema wewe ni taahii.....ra

Yaendayo yanarudikwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?
si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
Ccm hawawez kubal Mzee watazid kutawala kimabavu😄😄😄😄Safi sana tundu lissu ni shujaa wa Tanzania, mzalendo wa kweli, Mungu yupo upande wake na ndiye rais ajaye 2025-2030 kwa tume huru ya uchaguzi!