Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

kwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?

si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
Kila kitu kitatimizwa kwa Lissu sababu anayoyafanya ni ya haki
 
Kila kitu kitatimizwa kwa Lissu sababu anayoyafanya ni ya haki
gentleman,
huyo mwanaharakati mropokaji kibaka na tapeli wa kwenye siasa ni nonsense, hana athari zozote siasa za Tanzania, but na huyo kasongo mtu wa fujo atadhibitiwa tu akiropokaka mahakamani :NoGodNo:
 
Aisee hiyo nayo hiyoo watakuja "watu" wakijidai "wamekuja kusikiliza" kisha watafanya "fujo" ili ionekane ni "wanachama " wa " chama" hiko.


Mwisho wa kunukuu
 
Ni wao wenyewe ndio watatuma uvccm wavae nguo za bavicha ili waje kufanya ghasia wao wenyewe ndio wanaharibu utulivu wa nchi hii ni wao wenyewe ndio wanateka wanapoteza wanaua.

Mchezo wenu unajulikana.
Tahadhari iliyotolewa ni pamoja na kuepuka michezo kama hiyo ili ikijitokeza kuwe na nguvu yakupigia kelele.kila mtu atimize wajibu wake ili kupatikane pakuanzia mambo yakienda tofauti.
 
Kuna mamluki watakuja kufanya fujo.

Tunawaomba ndugu mahakimu, wanasheria, mawakili, polisi, karani wa mahakama na wale wooote wanaofanya shughuli za kimahakama,

Chonde chonde mtuachie watu wetu watakaoleta fujo tumalizane nao sisi wananchi wenyewe, hilo ni personal msiingilie tutamalizana nae wenyewe.
Hiyo ni kazi ya polisi
 
Tahadhari iliyotolewa ni pamoja na kuepuka michezo kama hiyo ili ikijitokeza kuwe na nguvu yakupigia kelele.kila mtu atimize wajibu wake ili kupatikane pakuanzia mambo yakienda tofauti.
Sisi tunaheshimu Mahakama lakini CCM na Mapolisi wao ndio huwa hawaheshimu Mahakama.
 
kwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?

si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?🐒
Itoshe tu kusema wewe ni taahii.....ra
 
Amini kina lucas, pascal watahudhuria na ndio wataleta vurugu😂
 
Back
Top Bottom