mzee mwinyi

Hussein Mussa Mzee (born 1 March 1964) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Jangombe constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

    Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni umri mkubwa sana kuendelea kuwepo hai, akiwaona wajukuu na watoto zao. Mzee Mwinyi kwa sisi...
  2. Mr Dudumizi

    Mwalimu Nyerere kwanini alimwambia Mzee Mwinyi maneno haya?

    Habari zenu ndugu zang, ama baada ya salam ningependa kuwaombea heri ya mwaka mpya. Ndugu watanzania wenzangu, historia yetu inatuambia kuwa baba wa Taifa mwl J.K. Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa takriban miaka 20 na ushee. Katika uongozi wake wa kipindi cha miaka tajwa hapo juu, mwl Nyerere...
  3. Kasomi

    Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani. Kwakweli huyu Mzee...
  4. MGOGOHALISI

    Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

    Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo. Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
  5. Guselya Ngwandu

    Mzee Mwinyi afunguka kuhusu Mbio za Mwenge, Rais Samia anaendeleza walichoasisi

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa zilizofanyika kwa pamoja mkoani Geita. Mbio za Mwenge wa Uhuru ni utaratibu ambao umekuwepo nchini...
  6. Richard

    Mzee Ally Hassan Mwinyi pekee alijaribu, alivunja Baraza la Mawaziri la Muungano mwaka 1990 alipoona kuna shida mahala

    Tarehe 13 mwezi August mwaka 1990 magazeti yote ya Tanzania yalikuwa na vichwa vya habari vilivyohusu kujiuzulu kwa baraza la mawaziri jana yake yaani tarehe 12. Taarifa hizo zilisema kuwa katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais mzee Ally Hassan Mwinyi aliwaambia mawaziri...
  7. N

    Mzee Mwinyi aliwahi kujiuzulu - Komredi Majaliwa ameelekeza upinde kwingine kabisa!

    Akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani Enzi hizo Mzee ali Hassan Mwinyi aliwahi kujiuzulu ili apishe uchunguzi kutokana na askari kuua watu huko mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa tuhuma za ushirikina. Ila Mawaziri wa sasa - mwangalie Dk. Mwigulu - huwa hata tuhuma zikihusu Taasisi zao wao wanacheka cheka tu...
  8. F

    Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

    Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo. Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
  9. J

    Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  10. mr mkiki

    Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  11. J

    Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

    Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu. Mzee Mwinyi anasema...
  12. J

    Mzee Mwinyi: Nyerere alitaka pawepo mgombea binafsi lakini CC ya CCM ilimkatalia, pia CCM ilipinga vyama kuungana ikihofia itakufa

    Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
  13. M

    Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  14. K

    Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  15. GENTAMYCINE

    Hayati Mzee Mkapa katika kitabu chake alikiri kuteleza katika Ubinafsishaji. Nategemea Mzee Mwinyi atakiri kuteleza katika Rushwa

    Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia. Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu...
  16. Red Giant

    Mzee Mwinyi ametoa kitabu' ':- Mzee Ruksa: Safari ya Maisha Yangu

  17. J

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  18. N

    Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

    Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
  19. Mbase1970

    Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  20. F

    Mzee Mwinyi awavunja mbavu waombolezaji Masasi; aeleza mara ya kwanza kuvaa viatu ilikuwaje

    Baada ya Mzee Kikwete kuweka sawa mambo na kusema Mzee Mkapa hakupenda sifa pamoja na kufanya mambo mengi ambayo serikali hii bado wana jukumu la kuyakamilisha, mzee Mwinyi aliuchekesha umati wa waombolezaji kwa kuelezea jinsi alivyotoka mbali. "Katika ujana wangu, nimevaa viatu mara mbili...
Back
Top Bottom