mzee wa upako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  2. Replica

    Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

    Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
  3. S

    Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  4. R

    Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  5. 2 pacha

    Mzee wa upako. Amesema anayekataa kuchanjwa ni zombi''

    Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa kuwazuia kwenda kuchanjwa kwahyo nayeye ni zombi.
  6. Benaya-

    Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

    Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upande wa serikali. Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihadhari isije kuharibu amani ya Tanzania. Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kassim Majaliwa waziri mkuu...
Back
Top Bottom