Mzee Kipara huko alipo Bombuli atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya;
1. Kagame Inauguration, Rwanda.
2. SADC Summit Zimbabwe,
3. Kenya kwa Odinga AUC
4. China, FOCAC,
5. Washington DC, Marekani UNGA (mwezi September).
6. Miaka 200 ya ufalme wa Lesotho (October)...