Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao walianzishe. Kushindwa kesi kwa Mzee Magoma na wenzake ni manusura kwa Simba.
Wachambuzi na wanahabari wetu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa.
Chanzo...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake
Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini 2010-2015.
Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati DAUDI MWANGOSI...
Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama...
Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.
Soma pia:
=> Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
Magoma hawezi kulipia wakili bali kapewa wakili na wale jamaa zake kwa gharama zao. Aliyepeleka Yanga mahakamani ni Magoma, viongozi wa Yanga wanajibu mashitaka yake tu mahakamani. Kwahiyo akina Magoma walitaka Yanga wasiende mahakamani kujibu hoja zao...
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.
Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka .
Nipende kusema kwamba hawa...
Enzi za Uhai wa Mzee Wagagigikoko aliongoza familia yake kwa mabavu hata mkewe hakua na Sauti yako maamuzi.
Familia ilinawili lakini watoto wa jirani waliolima shamba moja na mzee huyo walikonda kwa mateso na fitna sababu mzee huyu Katili hakupola chakula pekee toka kwa jirani zake Bali alipola...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
Ndugu Mnyika.
Nakusalimu
Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao.
Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake taarifa zinazotoka nyumbani kwa mzee Kibao siyo nzuri.
Hebu sasa njoo hadharani uwatangazie wana...
Hello JF hope you are doing well!
Twende kwenye mada.
Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya.
Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu na sehem kubwa ya neo lake hulitumia katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa cows...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?
Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne.
"Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.