Tafadhalini ndugu na jamaa
Nilisafiri kutoka Dubai kuja DSM kupitia Nairobi kupitia mashirika mawili tofauti ya ndege kwa kuunganisha safari
Mpaka leo hii ni siku ya 17 sijaipata bag langu ambalo lilisafiri upande wa mizigo licha ya kujaza form terminal 2 tuliposhukia na jitihada zote za...